A TOWN BOYS ARUSHA

FID Q AFUNGUKA NA KUSEMA JUU YA BEEF YA NEY WA MITEGO NA NICK MBISHI




Rapper mkali kutoka MWANZA, FID Q ameonekana kuutazama wimbo mpya wa
NIKKI MBISHI kama moja ya vitu vinavyoweza kupekea BEEF kubwa kati ya msanii huyo na NEY WA MITEGO ...
FID Q
aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya kuulizwa swali kwenye program yake ya mara kwa mara mtandaoni humo ya #ASKFidQ kuhusiana na wimbo huo ...
Swali lilikuwa hivi: Nini mawazo yako juu ya nikki mbishi na his new track (ney wa mitego) ??
@FidQ
akajibu, "Nisingependa kuona beef kati yao ..."
FID
is one of the illest Hip-Hop emcees in TANZANIA na hilo halina ubishi, ni lipi ameliona katika mdundo huu wa HIP-HOP wa NIKKI MBISHI ?? BEEF kali kuibuka ??
Anyway, ngoja tuskilizie tuone ... Na kama hujausikia mdundo huo wa NIKKI MBISHI unaofahamika kama NEY WA MITEGO huu hapa-uusikilize
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment