A TOWN BOYS ARUSHA

TAMADUNI YENYE NGUVU ILIYOBAKI AFRIKA KUTOKA TANZANIA

KABILA HILI HUISHI KATIKA NYMBA ZA KITAMADUNI AMBAZO HUJENNGWA KWAUDONGO NA UMBO LA DUARA NA KUEZEKWA KWA NYASI KAVU, VIJANA WA KIMASAI WAKIWA MBELE YA NYUMBA YA KUISHI, PIA MAASAI UJUIKANA ZAIDI KUTOKANA NA MAVAZI YAO AMBAYO NI MASHUKA YANYE MCHANGANYIKO MZURI WA RANGI, SHUKA HIZI HUITWA RUBEGA AMA MGORORI.
VIJANA WA KIMASAI KATIKA RIKA LA SKOLIO AU NYANGULO, USONI HUJIPAKA MAJIVU AU LOKARIA AMBAZO NI MAPAMBO YA KITAMADUNI WANAYOJIPAKA WAKATI WA KUTOKA JANDONI,
BASI SIKU ZA SHEREHE ZA JANDO MAASAI HUCHINJA NA KULA NYAMA KAMA SEHEMU YA KUFURAHI, WAZEE WAMAMA WATOTO NA WANADADA HUBAKI NYUMBANI WAKATI MURANI WANAONDOKA NA KWENDA PORINI, HUKAA PORINI USIKU MZIMA NA KURUDI NYMBANI SAA KUMI USIKU AMBAKO WATU HULA NYAMA NA KUIMBA MPAKA KUNAPOKARIBIA KUKUCHA NA HAPO NGAYONI HUPELEKWA MTONI KUOGA NA BAADA YA HAPO KITENDO CHA JANDO HUFANYIKA BILA GANZI.. MDA WA KUKAA JANDO NI MWEZI MMOJA AU ZAIDI.

WAKATI WA JANDO NGOZI YA NG"OMBE HUTUMIKA KAMA KITI CHA KUKALIA KWA ANAYAFANYIWA JANDO. HESHIMA, UTIIFU, UCHAPAJI KAZI , ULINZI WA JAMII NI MABO YANAFUNDISHWA JANDONI NA HII IKIMAANISHA KATIKA KABILA LA KIMASAI MORANI NI MTU WA KUHESHIMIKA SANA KUTOKANA NA YALE ALIYONAYO KWA JAMII NA FAMILIYA. MAASAI HUPENDA LOSHORO AMBAYO HUPIKWA NA MAHINDI NA MAZIWA, MAASAI HUIMBA NA KURUKA JUU NA HATA MDA MWINGINE KUZIRAI KUTOKANA NA FURAHA AMBAYO HUITWA MORI...HILO NI KABILA LA MAASAI UPANDE WA WANAUME SAHEMU YA PILI YA MAELEZO HAYA YATAENDA KUKUELEZEA BINTI WA KIMASAI ALIVYO KIMILA NA ANAVYOISHI.www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment