A TOWN BOYS ARUSHA

ABOUT US / A TOWN BOYS

www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com        A. TOWN BOYS ARUSHA. Ni kundi la muziki wa HIP HOP kutoka sanawari. Kundi linaundwa na wasanii watatu ambao ni ERICK TEMU Rick"s Fitty, JULIUS SANDET Sande Pande TheMc na GODFREY JOHN Diggo Boy wote kutoka sanawari.Kundi limefanikiwa kurekodi nyimbo ishirini katika studio za sixteen projuza akiwa Rick age.Ricks fitty pia ni daktari wa binaamu ukiacha kwamba ni msanii na projuza wa muziki na video, Sande Pande ni mwandishi wa habari, mtangazaji na pia,muelimisha rika,muigiaji wa kikundi cha  jamii  ya Sanawari, Diggo ni IT fundi kompyuta pia muigizaji katika kikundi cha jamii ya sanaa. Kundi la Atown boys limeanza mwaka 2006 na halina meneja linajiendesha lenyewe hivyo tunakaribisha yeyote anayeweza kusimamia muziki wetu kwa upande wa meneja. A town boys ndiyo wamiliki wa Ulimwengu wa vipaji blogspot tukiwa na lengo la kutengeneza cheni ya mafanikio kwa wasanii wadogo pamoja na vipaji vilivyopo mitaani. Ubunifu ni sehemu ya utofauti kati wetu na wasanii wengine. Karibu katika kushirikiana na A town Boys katika kukuza vipaji vya Tanzania na kutoa nafasi kwa vipaji vipya kuonekana.                                                                                 Kwa mawasiliano yetu tupate kwenye                                                                                       0759680079, 0762200463,0763782555  Email Diggoboy@gmail.com au Juliussandet19@gmail.com.       Karibu Sanawari  karibu kuona vipaji vipya. Kwake Mungu tunaamini ushindi.  











    Blogger Comment
    Facebook Comment