A TOWN BOYS ARUSHA

MTOTO WA AFRIKA





















www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com.AFRIKA..AFRIKA...AFRIKA...Nakuita Afrika wewe ni uzao wangu na mimi ni mtoto wako, mimi mtoto wa afrika,  mtoto mweusi kama sifa yako ile maridhawa, haki ya kupata elimu,kucheza,kula vizuri,kupendwa ni kitu ambacho kwangu ni stori ndefu ila mimi bado nakupenda afrika,naishi nikiamini kwamba siyo bahati mbaya mimi kuwa mtoto wako. NAKUPENDA SANA AFRIKA...    
    Blogger Comment
    Facebook Comment