A TOWN BOYS ARUSHA

SANAWARI THE FREE STAGE

Michano kwa sanawari ni sokononi. Cb daktari kutoka mwenga squad akichana kwenye sanawari free stage for freestyl juma plili hii.
 Baadhi ya mashabiki waliojitokeza kuskia mistari...Tuna jali kile ambacho ni kipaji

 Diggo boy A town boys akisawazisha sanawari kwa mistari





 Sande Pande TheMc aliendesha show nzima na ikawa poa sana mitindo huru kwa wingi







www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com.Ni muendelezo wa kuhakikisha muziki unalipa kuanzia kwa wasanii wadogo ambao wanatumika kufanya show bure. Leo mtaanda majukwaa makubwa,muziki mkubwa,eneo alafu anayevitumia vyote hivyo halipwi kitu huku wasanii wadogo wakiamini kwamba show za bure ni kujitangaza na mimi sikatai ila kuwa na jina kubwa bila pesa ni hasara, Sanawari inatoa mfano hai wa nini cha kufanya kama wewe siyo msanii mkubw ambaye muziki unakulipa na kwanza lipa kuwa na kipaji kwa kukionyeshea uweo na watu watapokea unachofanya...Karibu Sanawari Karibu mistari Ni kila jumapili saa kumi eneo ni sanawari sokoni ina letwa kwenu na A.Town boys Arusha
    Blogger Comment
    Facebook Comment