HUU NI MNARA WA MTANDAO, UPO NDANI YA UZIO MMOJA NA NYUMBA AMA FAMILIYA YA WATANZANIA. NINACHOKIJUA NI MAISHA YETU NA MINARA NI VITU TOFAUTI NA AFYA. INAVYOTAKIWA KUWA MBALI NA MAKAZI YA BINADAMU SIYO SAWA NA INAVYOFANYWA, WATU WANAISHI NA MARADHI LAKINI KWAKUWA MAUMIVU HAKUNA KWA SASA BASI NENO KUUMWA HALIPO. SWALI LANGU NI NANI ASIYEJUA MADHARA YA KUKAA NA VITU KAMA HIVI KARIBU? KWENYE MLANGO WA NYUMBA HII NDIPO ZINAPOPITA NYAYA NA NDIPO ZILIPO MAKAZI YA MNARA HUU. TUNAISHI TUKIJIANDAA KUFA AU TUNAKUFA TUKIWA TUNAJIANDAA KUISHI??.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment