A TOWN BOYS ARUSHA

UKWELI KUHUSU KIFO CHA LEXA JULIUS.....!!!


  • ‎                                     ..............HII NDIO TAARIFA KAMILI............
    Lexa Julius ajachomwa kisu kama inavyo andikwa kwenye vyombo vya habari....Marehemu alivamiwa na kundi la Makapurwa kwa nia ya kumuibia ...katika hali ya kujihami..walimpiga na jiwe kichwani ...ndugu zake walimrudisha Marehemu Lexa nyumbani..Kwa bahati mbaya alifariki usingizini..Report ya POST MORT UM inasema Damu ilivujia kwenye ubongo...
    ....kABLA YA MAUTI YAKE .alimtaja mmoja wa wahusika...
    ambayo mpaka sasa wamekamatwa wote na wamekubali kua wao ndio wahusika....
    MAREHEMU HAKUCHOMWA KISU KAMA TAARIFA ZISIZO RASMI ZINAVYO ANDIKA....NA JCB HAUSIKI NA CHOCHOTE

                                         ..............................r.i.p ALEX JULIUS..................
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment