A TOWN BOYS ARUSHA

...KWANI WEWE UNAJALI NINI JUU YA WATOTO?? HATA KAMA HUJANIZAA WEWE! UKINIJALI NAFARIJIKA...

 ...KWA UFUPI TU, MIMI NI MZALIWA WA BARANI AFRIKA KWANGU MIMI HAPA NI MAHALI AMBAPO SJAWAHI KUWEPO KABLA, ALAFU KINGINE NIPO KWA MAKUSUDI! UKIACHILIA MBALI MIMI, KUNA MARAFIKI ZANGU NA NDUGU AMBAO SIWEZI KUSEMA JINSI WAMEBARIKIWA ILA KWA MAJINA NAWAKUMBUKA WACHEZA MPIRA, WAIMBAJI,WACHEZA FILAMU,VIONGOZI WAKUBWA. MHHHHHH AFRIKA.
 ...KWA MFANO KUNA MCHEZA MPIRA MMOJA ANAITWA SAMWELI ETO"O KUNA RAISI MMOJA ANAITWA BARAK OBAMA, KUNA WENGI SANA MTU MKUBWA KAMA NYERERE WA TANZANIA. NATAKA NIKUAMBIE KIDOGO KUHUSU WANAPOTOKA, KAMA UPO TAYARI NATUA HUU MZIGO WA MAJANI NIKUPE STORI YA HADI HAPA NILIPO...KARIBU RAFIKI,
 ...KUNA VITU AMBAVYO MUNGU AMEVIFANYA VIWEPO BILA MAKUSUDI YA MIKONO YA MWANADAMU HATA KAMA NI YEYE ANAYEVITENDA. MFANO MIMI KUZALIWA NI MAKUSUDI YA MUNGU KUPITIA MIKONO YA MWANADAMU. NA KINGINE NI MIMI KUWA NA HAKI YA MAISHA YANGU MDA WOTE NTAKAO ISHI HAPA DUNIANI, SASA SI UNAJUA KUNA UTARATIBU MWANADAMU ANAWEKA KWENYE DUNIA ANAYOISHI? KUNA KITU KIMEKUWA KIGUMU KWANGU KUTOKANA NA KITU KAMA UTARATIBU AU NAWEZA KUITA MFUMO. UNAWEZA KUSHANGAA MAWAZO YANGU ILA NDO HIVYO TULIVYO WATOTO WA AFRIKA... 
...SISI TUNAFANYA KAZI, HATUNA MDA WA KUCHEZA AU TUNACHEZA MAZINGIRA MAGUMU YAKITUZUNGUKA VYUPA MIBA VYOTE VIKIPTIA MIGUUNI KWETU KWASABABU WENGI HATUPENDI KUVAA VIATU KWASABABU VINAPATIKANA KWA NADRA SANA. WAZAZI WETU WENGI SI WAELEWA KABISA UNAWEZA KUTA BABA NA MAMA WANAGOMBANA MBELE YETU, AAH WENGINE WANAACHANA KABISA. HUWEZI AMINI HADI LEO BADO UGONJWA KAMA MALARIA NI TATIZO AMBALO SISI NA MAMA ZETU TUPO HATUJIWEZI MAHODINI. KUNA MDA UNAFIKA SASA UNASEMA HAIJALISHI VIPI ILA NAHITAJI KUFURAHI NA MARAFIKI, NAWEZA KUONA MAANA YA MAISHA YANGU...
...KWA MSIMU KAMA HUU WA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA NINGEPENDA KUONA WATOTO TUKIWA NA SEHEMU ZETU ZA KUFURAHI NA WATOTO WA MITAA MBALIMBALI, ILI TUSIENDE KUNING"INIA KWENYE MADARAJA, KUSIMAMA TU BARABARANI,KUPANDA TU GARI NA HATUENDI MAHALI WAKATI SJAWAHI KUFIKA SERENGETI,NGORONGORO,WALA TARANGIRE. SASA KUNA WATU WANATAKA TUENDE DISKO ETI WANASEMA DISKO TOTO!! WATU WANACHEZA WAKIVUA NGUO, WANAKUNYWA POMBE, WANAGOMBANA NA SISI TUNATAKA KUBEMBEA KULA BARAFU NAKADHALIKA.WENGINE TUNAISHI KWENYE VITUO MAHALUM VYA KUTULEA SISI AMBAO WAZAZI WETU KUNA SINTOFAMU ZIMEFANYA HATUPO NAO KWA HIYO MKIJA TUKILA SKUKUU PAMOJA NI FARAJA KUBWA.. STORI ZAIDI JUU YANGU MTOTO WA AFRIKA ULIMWENGU WA VIPAJI UTAKUPA KWA KINA ILA KWA SASA FIKIRIA JUU YA SIKUKUU HII MWANAO VIPI KWASABABU MIMI SIOGOPI NIMEZOEA MAISHA YA MTAANI MAANA YANANIFANYA KIJANA WA AFRIKA HASILI...BYEE BYE  KARIBU AFRIKA
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment