A TOWN BOYS ARUSHA

JCB MAKALLA SOON KUTAMBULISHA NGOMA MPYA!! KAA TAYARI KWA MASIKIO YAKO KUPOKEA LADHA NYINGINE KABISA!!!

     Mcee wa Muziki wa Hip Hop kutoka kijenge ya juu Utengwani Jcb Makalla soon ataachia ngoma yake mpya itakayokwenda kwa jina la "I DONT CARE" ambayo amewashirikisha Chaba "Baba Mkubwa" na Ben Pol aki taking over vizuri kwenye Chorus kali. Wimbo huo utaanza  kupatikana kwenye mitandao ya kijamii na pia redioni Jumatatu ya Tarehe 15.04.2013, wimbo huo umetengenezwa Noizmekah chini ya usimamizi wa Dx akishirikiana na J Ryder. 

       Huu utakua ni ujio mpya kabisa wa Jcb Makalla katika kuitambulisha Album yake ya Nakala za Makala Vol. II.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment