A TOWN BOYS ARUSHA

KUTOKA SANAWARI TENA, LADY YOO & SANDE PANDE THEMC KATIKA UANDISHI NA FLOW YA HIP HOP SAFI, IPO SIRI YA MAFANIKIO

 LADY YOO NA SANDE PANDE THEMC "MDA MWINGI KATIKA KUFANYA RAP NIMEKUWA NIKIJIAMINI KITU AMBACHO KINAWEZA KUKUFANYA UPENDE SANA HIP HOP NA MDA MWINGI LADY YOO AMETUMIA KUKAA MA MAMC WAKALI KILICHOMPELEKEA KUFIKIA HATUA YA KUANDIKA MISTARI YA KUSHANGAZA, ANASEMA SANDE PANDE"
ANAENDELEA KUSEMA... A TOWN BOYS IMEKUWA NI MAHALI PAZURI KWANGU, ILA NIMESHANGAA SANA KUHUSU LADY YOO, NI MDA MFUPI KUTOKA KWENYE KUTOFANYA MUZIKI HADI KUWA MKALI KWA HUYU BINTI KITU AMBACHO HADI MTAANI WAMESHANGAZWA NA KIPAJI HIKI, JUKWAANI SANDE PANDE NA LADY YOO KATIKA KUIFANYA NGUMU ILE HIP HOP YA MTAA
 UNAPOKUWA UNASEMA MUZIKI UPO KWENYE DAMU MAANA YA KWANZA INAWEZA KUWA NI KITU USICHOWEZA KUACHA HATA KWA DAKIKA MOJA, ILIVYO KWA LADY YOO NI MUZIKI MOYONI KWENDA KWENYE DAMU,

KUFANYA MAZOEZI KWA WINGI NI SIRI YA UANDISHI NA FLOW KWAETU HUKU SANAWARI, HUYU NI LADY YOO BINTI ANAYETISHA KWA UANDISHI NA FLOW KALI. HADI SASA AMEFANIKIWA KUREKODI NGOMA KADHAA KATIKA STUDIO ZA NOISE MAKER ARUSHA CHINI YA PROJUZA DX.


         INIUA VIPAJI VYA NYUMBANI, INUA VIPAJI VYA TANZANIA MIMI NI ULIMWENGU WA VIPAJI BLOGSPOT. KARIBU TENA
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment