A TOWN BOYS ARUSHA

NEW TRACK:AMANI-HAIWEZEKANI

Anajulikana zaidi kama "Amani" na hapa anakuja na kibao chake kipya "Haiwezekani" ikiwa ni mtindo wa Rap/Hiphop juu ya mdundo wa Defxtro pande za Noizmekah, wimbo huu ni mahususi kwa kuwaweka tahadhari watanzania wote na hali ya udanganyifu inayoendelea kisiasa, Ugomvi wa kufikia hatua za kuchafuana majina, vyama vya siasa kuandamana na hata raia wasio na hatia kufariki katika fujo zinazo letwa na siasa, Amezungumzia pia sekta ya elimu na afya vile vile ufujaji wa pesa za mlipa kodi, Pata kudownload wimbo huo HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania, kwa mawasiliano zaidi check na Amani kupitia +255 759 518 286 powered by www.vmgafrica.com
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment