HURUMA CARE DEVOLOPMENT TUPO NA KUNDI LA WATU WENYE MAPITO YANAYOGUSA MSHIPA WA UTU NA HURUMA KWA MAISHA YA BINADAMU, NI LAZIMA IWE WAZI KUWA KUNA WATU WANAHITAJI MSAADA NA WANAHITAJIKA KUONEKANA NA KUFAHAMIKA WAPI WALIPO NA WAWEZE KUISHI KAMA WENGINE
HUYU NI MTOTO WA MIAKA 12 ANASUMBULIWA NA TATIZO LA KUPOOZA MWILI MZIMA HURUMA CARE DEVELOPMENT NI MAHALI AMBAPO YUPO KWAAJILI YA KUPATA MISAADA MBALIMBALI IKIWEMO YA MATIBABU NA MALAZI.
HURUMA CARE DEVELOPMENT ILIFANIKIWA KUMTOA NYUMBANI HAPO HADI HOSPITALI.
YAPO MAKUNDI MENGI YA WATU WANAOHITAJI MSAADA KAMA YATIMA, WAZEE, WAGONJWA NK. TUNAPOSAIDIA TUJUE KUWA HAWAKUPENDA KUWA WALIVYO BALI NI MATOKEO YA MAISHA NA MAJARIBU YA DUNIA. MUNGU AKUBARIKI KWA KILA JEMA UNALOWAZA NA KUTENDA
0 comments:
Post a Comment