A TOWN BOYS ARUSHA

DOWNLOAD NEW HIT:BigNation MafayaFaya na "Massawe"

Kutoka Ilboru Arusha anarejea G FayaFaya akiwa na ElevenDJ katika pini jipya kabisa style ya kwaito dance,dude toka pande za noizmekah Production Studios chini ya Producer Defxtro, nyimbo inaitwa "Massawe" pata kuusikiliza na kudownload HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na BIGNATION kupitia nambari +255 756 730 356 na endelea kusupport muziki wa Tanzania.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment