A TOWN BOYS ARUSHA

Rama Dee: Namsupport Lady Jaydee sababu ni ‘strong’



Nguli na mkongwe wa muziki wa R&B nchini Rama Dee ametoa sababu ya kuonesha ushirikiano mkubwa katika harakati za muimbaji Lady Laydee. 13269373_888557321256134_322576829_n
Rama Dee ni miongoni mwa wasanii waliomsindikiza Lady Jaydee kwenye show yake ya Naamka Concert Mlimani City jijini Dar es Salaam
Akizungumza na mtangazaji wa kipindi cha Ladha 3600 cha EFM, Jabir Saleh, Rama Dee alisema anaendelea kumsupport Jide sababu ni msanii anayepambana na yupo serious kuhakikisha anafanya kilicho bora zaidi ili kuilinda heshima yake katika muziki.
13259667_979440052175047_1181828343_n
Rama aliongeza kuwa Jide ameweka historia kubwa sana katika tamasha la Naamka Tena Concert lililofanyika katika ukumbi wa Mlimani City kwani ni mfano tosha kwa wasanii wengine ambao hawapo serious na game.
13249768_1086284351439475_1823378610_n
Hitmaker huyo wa Kipenda Roho kwa sasa yupo nyumbani na ametoa shukrani kwa mashabiki wake na kuwaahidi kuwa atawapa surprise kabla hajaondoka kurudi Australia ambako ndiko makazi yake yaliko kwa sasa.
Muimbaji huyo amemuoa raia wa nchini Australia na wana watoto wawili pamoja.
SOURCE:BONGO 5

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment