A TOWN BOYS ARUSHA

A.Town Boys Arusha

www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com
Hili ni kundi la muziki wa HIP HOP kutoka Arusha Sanawari.kundi hili linaundwa na maMc watatu ambao ni Diggo Boy, Rick"s Fitty pamoja na Sande Pande TheMc ambaye ni msemaji wa kundi.A town Boys wamesha fanya ngoma kali kama Kush,What ft Tash, Holy day na ordinaly zote zikiwa zimefanywa Sixteen record chini ya projuza mkali master beat RickS fitty.Diggo boy kutoa muziki pia ni I.T mzoefu katika ufundi wa komputa, Sande Pande ni mwandishi wa habari vilevile mtangazaji na rick ambaye ni projuza pia ni daktari mtarajiwa.kundi hili halina meneja linajiendesha lenyewe na kama kuna anayataka kufanya kazi na A.town boys anakaribishwa sana.kundi hili limegawanyika makundi mawili kuna A Town girls pia ambao ni Ice b,pamoja na Black Gn.Muziki kutoka Sanawari na vipaji vinahitaji sana mchango wako wa kimawazo ya maendeleo na mapokezi mazuri kutoka kwa mashabiki...Kama umeelewa muziki wa A.town boys karibu sanawari karibu mistari...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment