A TOWN BOYS ARUSHA

JAMII YA SANAA SANAWARI.

www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com  Ni kikundi cha sanaa kinachotokana na jamii ya watu wenye vipaji kuunganana na kufanya sanaa kwa umoja. Jamii ya sanaa sanawari inajihusisha na sanaa kama maigizo, hip hop, kucheza muziki,uchoraji,sarakasi. pia Jamii ya sanaa inafanya shuhuli za kijamii kama utunzaji wa mazingira,elimu kupitia sanaa na wasanii wanapata nafasi ya kujifunza kuusu elimu ya ujana na rika, elimu juu ya mahusiano na, matumizi ya madawa ya kulevya, pia jamii ya sanaa inafanya maigizo ya jukwaani na filamu .   ...KILA KINACHOSEMEKANA NI STORI ILA HAPA STORI NI ILE AMBAYO HAIJASOMWA...Karibu Sanawari.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment