A TOWN BOYS ARUSHA

KARIBU SANAWARI KARIBU MISTARIII...

www.ulimwenguwavipaji.blospot.com kutoka sanawari ni yooo msanii wa muziki wa hip hop alipokuwa akichana mistari kwenye tamasha la mistari linalifanyika kila jumapili saa 10 jioni hadi saa 12 jioni...SANAWARI FREE STAGE FOR FREESTYL. maMc wanaofanya mitindo huru wanapata nafasi ya kufanya hivyo kiuaminifu.Kama unavyojua HIP HOP ya kweli ipo mtaani? basi hicho ndicho kinafanyika na hii ikiwa imehusisha wasanii kutoka sanawari kama A TOWN BOYS, ambao ni Sande Pande TheMc, Diggo Boy na Ricks fity, MWENGA SQUAD ARMY kama Cb dactari, Saidi Kuweb,kila mara, pamoja na wasanii wengine kama Vicela. Sande Pande TheMc ambaye ndiyo msemaji wa kikosi kizima alieleza malengo ya kuwa na majukwaa ya sanaa kila mwisho wa wiki  moja ikiwa ni kuwaonyesha wakazi wa sanawari vipaji vilivyopo jirani na kuwaonyesha jirani vilivyopo sanawari..ikiwa inatoa rai kwa wasanii wadogo kutongoja kusikika redioni wakati nyumba ya pili hawajawahi kukuskia...Leo kwa msanii mdogo hajapigwa redioni sanaa hailipi, tembea na ndani ya ulimwengu wa vipaji uone vipaji vinavyolipa bila majina makubwa ya maredioni..
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment