A TOWN BOYS ARUSHA

MABIBI NA MABWANA KARIBUNI KWENYE ULIMWENGU WA WATU WENYE VIPAJI...

www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com Ni blog ambayo ipo kwa ajili ya kukupa elimu kupitia burudani, na watoa burudani kupata elimu kupitia ulimwengu wa watu wenye vipaji mbalimbali. kwetu sisi kipaji ni ule uwezo wa asili wa mtu kufanya kitu, Basi ndani ya ulimwengu wa watu wenye vipaji utaona jinsi gani uwezo bila nafasi unavyo gharimu vipaji mbalimbali vya hapa Tanzania. Zaidi ya kutoa habari za kutoka nchi za nje kuusu vipaji tunachotaka ni kukuonyesha uwezo walio nao watu maana mwanzo wa mafanikio ni kazi kuonekana,  letu ni kukuonyesha kwa lengo la kuinua almasi zetu tulizozitosa kwenye mchanga..KARIBU ULIMWENGU WA VIPAJI ILI USIKOSE MAHALI PA KUONYESHEA KIPAJI...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment