A TOWN BOYS ARUSHA

KUFA KUBAYA ILA TUNAISHI OVYO...


www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com Kwenye nyumba inayoonekana wanaishi watanzania wenye familia kubwa tu.Na kinachoonekana juu ya nyumba ni nyaya za umeme ambazo ni mkondo mkubwa wa njia tatu..Ambacho nakijua kuusu umeme mkubwa kama huu unapaswa kuwa mbali na watu na kutoka kwa watu wa maeneo haya ya Sanawari Arusha wanaeleza kuwa umeme huo ulishawahi kulipuka kutokana na waya kudondoka chini mtaa mzima ulifungwa na waya mmoja tu ila tanesko walikuja wakaunga waya maisha yanaendelea. yupo ambaye alikuwa karibu na nguzo hizo alinaswa na umeme huu huu mpaka kuzirahi na kujerulika sana hadi kupoteza baadhi ya viungo vyake kama kidole kidogo cha mguu. ombi langu ni tanesko wasingoje tuwe mfano wa watu kujua kama umeme unalipua na kuua hatua stahili zichukuliwe...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment