A TOWN BOYS ARUSHA

YATUNZE MAZINGIRA YA KUTUNZE........!!!!


www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com. Ndugu zangu wa Tanzania nataka kukufafanulieni kuusu usafi kwa ujumla wake na kwangu usafi unaeleweka hivi..kuwa msafi wewe na vitu vinavyokuzunguka kwa mfano mazingira ama nguo na vitu vingine kama chakula ama makazi. Leo naomba nikuambie kuwa kuna watu hawajui maana ya usafi.Uchafuzi wa mazingira unaoendelea leo ni zaidi ya matusi ya nguoni na kutokana na hilo leo tumelazimika kutumia lugha ngumu kuweka wazi ukweli .Leo mazingira yako machafu alafu wewe umeoga unasema wewe ni msafi? hapana nguo ya ndani uliyo vaa ni chafu na unatakiwa kuivua na kuvaa chupi safi, nimetumia chupi katika hili kwasababu mazingira ni kitu nyeti sana katika maisha yetu na hivyo basi kiashirio cha nguo ya ndani uliyo vaa ni mazingira yanayokuzunguka. mazingira yako machafu umevaa chupi chafu mazingira masafi chupi safi..Ndugu zangu watanzania Naomba iwaume kuvaa chupi chafu na mjisikie haibu kuvaa. Kampeni hii inatarajiwa kuzinduliwa na JAMII YA SANAA SANAWARI na tunakaribisha udhamini wa kitu chochote , Tunza mazingira yako kama nguo yako ya ndani
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment