A TOWN BOYS ARUSHA

KUIPENDA TANZANIA NI KUIPENDA DUNIA...

  www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com  KILIMANJARO THE HIGHEST FREE STANDING MOUNTAIN.Karibu kutembelea Tanzania mlima huu unapattikana kwetu. Watanzania ukataji miti unasababisha kupoteza uzuri na uhalisia wake, KILIMA KIARO inahitaji matunzo yako leo na siyo kesho, wajukuu zetu watakuta stori kwamba huu mlima ulikuwa na theluji na ambayo unaiona sasa hivi imeshuka kiwango na kwenye picha ni 2001 jinsi mlima ulivyokuwa miaka 11 iliyopita kwamba baada ya miaka 20 sijui itakuwaje kama mwendo ndiyo huu.Tunza mazingira yako kuepusha madhara yanayotokana na ukataji miti na Moshi wa viwanda vitu vinavyosababisha ongezeko la joto duniani.kuna wanyama wanaohitaji misitu ya asili ambayo leo inakatwa kujenga makazi ya binadamu, Tanzania ni kubwa mno bado ardhi ni kubwa na ya kutosha sisi kuishi bila kuwaingilia wanyama.Leo mlima utabaki kwetu ila wanyama wanaweza kupandishwa ndege na kwenda mbali, kuipenda Tanzania ni kuipenda dunia ambayo inasema KILIMANJARO NI MLIMA WA PILI KWA UREFU DUNIANI. KARIBU  USIHARIBU TANZANIA YETU



Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment