A TOWN BOYS ARUSHA

Sande Pande TheMc...MAMC TUSI ISHIE KURAPU TU...FANYA KILE UNACHORAPU

www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com...Mc sande pande anayetokea kundi la A.Town Boys Arusha leo anafunguka kuusu nini anachotakiwa kufanya msanii wa Hip Hop, kama unaamini kipaji chako kina manufaa basi ni muda sasa wa jamii kunufaika na kile ambacho unakifanya.wasanii wengi sasa wana rapu kuusu mambo au maisha wasio ishi kiuhalisia. Leo tuna imba kuusu magari ya kifahari huku mtaani kuna njaa, kuna mengi ambayo jamii inangoja kutoka kwa wasanii zaidi ya kuwafundisha watu anasa..Ambacho anafanya Sande pande ni kukuonyesha mfano hai kwa kukuletea jamii ya watu wa sanawari wanaopenda kurapu kuusu mambo ya kweli na muda sasa wa kuionyesha ulimwengu kwamba Hip Hop ilianzia Afrika na sasa imerudi. Sasa utaona wasanii wa nchi a nje wakiimba kuusu utajiri walionao ila iko wazi kwamba huu ni muziki kwa ajili ya ukombozi wa mtumweusi leo tembelea mitaa ujionee mwenyewe kama tunastahili kujifananisha kimafanikio na wenzetu wa nchi za ulaya. Watu wanaimba kuusu midosho na mademu zao wanaojifungia nao ndani...tunahitaji kuskia muziki unaoelezea maisha yetu ya kweli na siyo show za mavazi. bana pesa zako kweny matumizi ila usibane pua yako kwenye versi za machizi..Sande Pande TheMc Natokea sanawari na nyooote mnakaribishwa mistari
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment