A TOWN BOYS ARUSHA

SANAWARI FREESTAGE FOR FREESTYLE. KARIBU MISTARI

 www.ulimwenguwavipaji.blogspot.com... Kwa mara nyingine ni SANAWARI THE FREE STAGE jumapili hii watu wamerapu na kuonyesha uwezo.
 Hapa ni Mansule Top wa kuigwa na Sande Pande TheMc wakifanya bato kufikisha rapu juu kileleni pale Sanawari ya juu soko.Soko la mauzo ya Muziki
Jukwaa linalohusisha uwezo zaidi kwa wasanii ambao muziki bado siyo ajira na hii ndiyo njia ya kupita kuelekea...

Vicela Cow boy akiwafanya watu kuskiliza mistari sokoni na hapa ni mwendo wa pesa bado watu wanahaso bado mifuko imejaa arosto mwili na jasho mafanikio ya maisha siyo kitoto. Kwa mwendo wa pesa wimbo wa vicela umenukuliwa hapa...

Kaa makini na usikie watu wanarapu nini hawa ni baadhi ya watu walio ona ni vyema kuskiliza mistari kuliko kunywa pombe na kulewa bora kula mistari na kuelewa jinsi inavyokuwa
Diggo Boy A.Town Boys pia alishika mic na kusema umeshinda nimeshinda tupo same level hizi pande haufikii zipo next level mistari inayopatikana kwenye track yake nayoitwa same level
KARIBU SANAWARI.........KARIBU MISTARI!!!!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment