...NI UJENZI WA BARABARA YA SANAWARI ARUSHA UNAOENDELEA HUKU TAHADHARI IKIWA NI KWA WENYE MAGARI KUENDESHA POLE POLE NA WASIO NA MAGARI KUTOKUWA NA TAHADHARI YOYOTE, KAZI ZA UJENZI ZINAENDELEA HUKU WAFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO WAKIENDELEA KUWEPO KARIBU NA MAKAZI KIASI CHA KUATARISHA MAISHA YAO.
KUNA WATEJA NA WAFANYA BIASHARA, PIA KUNA WAJENZI WA BARABARA KUNA WAPITA KWA MIGUU , WAENDESHA MAGARI NA PIKIPIKI WOTE WAKIWA MAHALI PAMOJA WAKITUMIA BARABARA AMBAYO INAFANYIKA UJENZI
TULIPO ONGEA NA MFANYA BIASHARA MMOJA JUU YA WAO KUWA KARIBU NA MAENEO YA UJENZI ALISEMA "MBONA WENYE MAGARI BADO WANATUMIA BARABARA BASI NA SISI TUNATUMIA KWANI NI MALI ETU SOTE" ALISEMA MWANAMAMA AMBAYE PEMBENI YAKE WANAGONGA MAWE AMBAYO YANWEZA KUPASUKA NA KUMJERUHI
JE? NANI WA KUCHUKUA TAHADHARI HII KWA WASIO NA MAGARI KWA KUWA KIBAO CHA WAKANDARASI KINATAKA WENYE MAGARI TU KUENDESHA POLE POLE HUKU UJENZI UKIENDELEA.www.ulimwenguwavipaji.blogspotcom

Ndani ya ulimwengu wa Vipaji mambo fresh! Blog iko safi kiwashe kama kawa. Pia unaweza nicheki hapa http://victormachota.blogspot.com (Asiliyetu blog)
ReplyDeletemambo fresh Asili yetu!!kama kawa lazima kiwake 4 real...!!!
ReplyDelete