A TOWN BOYS ARUSHA

MAMBO JAMBO RADIO SUMMER JAM

Mambo Jambo Summer Jam,Concert itayofanyika siku ya Iddi Mosi pale Sheikh Amri Abeid Stadium Arusha from Saa sita mchana hadi jioni na round hii A City is in tha houseeee!!!Bounako,
StopaRhymez,Fidovato,WEUSI,


TaigaRaiz,Badtaito,J4c,MayC,

Veej
ay,Gfaya,Meccacheka,


EffectZero,Gentriez,YungOmega na MirryCandle juu ya stage la kibabe,sound ya kibabe so kama vp jichange buku mbili tu twende sawaaa!!!Tickets sasa zinapatikana kote Arusha katika vituo vifuatavyo; Sakina shopping supermarket,Panone petrol station supermarket ngarenaro,Bugaloo pub Njiro complex,Zamzam Bakery sakina kwaiddi,2i pub kijenge banana,JJ Black fashion house mjini kati pamoja na Mpesa shop iliyopo Perferct Choice supermarket mkabala na chuo cha tropical centre.wahi sasa ticket ni buku mbili tu (2000/=),na kila ticket ina coupon ya bahati nasibu hiyo waweza kujishindia Blackberry,Flatscreen tv,Tshirts na hata Pesa Taslim pale uwanjani !!Mambojambo summer jam,muziki kazi!!!!
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment