A TOWN BOYS ARUSHA

JCB KUFANYA TOUR ULAYA NA PIA KUPUMZIKA NA FAMILIA YAKE

Msanii JCB kutoka pande za Watengwa Kijenge Juu Arusha amesema amekwea pipa kwenda pande za Copenhagan Denmark na Ufaransa kwa ajili ya ziara ya kikazi lakini pia ni kwaajili ya kupumzika na familia yaani yeye na mchumba wake Diana na mtoto wao Albert hadi Januari mwAkani.
"Mtoto wa JCB Albert mwenye umri wa mwaka mmoja hivi sasa akiwakilisha na tshirt ya Watengwa."

JCB akiwa na mwanae ambaye kipindi hichi amemfanya JCB kuwa bize sana na mtoto wake kumwangalia haswa kipindi cha mchana wakati mama yake anapokuwa kazini.Ni kati ya wanaume wachache ambao ni mfano wa kuigwa kwa kutenga muda wa kulea  mtoto, tofauti na wengine ambao huwaachia wanawake wenyewe ndo walee watoto.Sahivi pia JCB anafanya poa na ngoma ya 'Just like you' ambayo ni kati ya ngoma 6  zilizoachiwa kutoka Watengwa kupitia project ya 'Daz Knowledge Special release.
SAFARI NJEMA BROO KATUWAKILISHE POA.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment