A TOWN BOYS ARUSHA

Nezo B Ft Lady Voice Swaga zangu Produced by Geryy B,GJ Records


Nezo B..ni mmoja kati ya Vinara  Otimum squad kundi linalopatikana sanawari Atown....ndani Crew hiyo kuna Ma mcee kibao kama VICCELA,FURE,NEZO B na Fisrt Lady wa crew hiyo ajulikanaye kama LADY YOO...!!!
Hadi sasa Nezo B ni Mcee ambaye amekamilisha Album yenye Track 16 iitwayo "SWAGGA ZANGU".kwenye album hiyo Nezo B amefanya Collabo na wasanii kibao Kutoka hapa Chuga town kama vile A TOWN BOYS,MEGA MIND,LADY VOICE,VICCELLA,ONE FAMILY na SWAGA BOY....!
Album hiyo ambayo ngoma zake nyingi zimefanyika katika studio za GJ RECORDS,SIXTEEN RECORDS na PERFECT RECORDS..zote zikiwakilisha Sanawari ya juu Atown.....Mcee Nezo B pia anamshukuru sana GERRY B producer wa studio za GJ RCORDS kwa kumpa support kubwa ya kurecord ngoma nyingi zilizokamilisha Album yake hiyo ya "SWAGGA ZANGU""much love"..pia ana mipango mingi ya ngoma katika studio tofauti na na Mcee wakubwa kama FID Q,STEREO na wengine kibao....!!!!
Pia anamalizia kwa Kumshukuru tena na tenaProducer wake GERRY B...kwa kumuwezesha kufika hapo alipo!!
Na hii hapa ndo track anayo introduce ambayo imebeba jina la Album"SWAGGA ZANGU" keep on listen na kudownload hii ngoma nakuipush ifike mahala pake!!!much love"

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment