...UKIONA KUNA WAKATI UKISIMAMA MENGI YANAINUKA BASI UKISIMAMA TOA SHUKRANI KWA MUNGU NA SIFA. LORD EYES NI MC AMBAYE ARUSHA INAJISKIA VIZURI KUWA NAYE.
...SIKU ZOTE WASIOPENDA MAENDELEO NI WATU NAAGALIA JUU MAWINGUNI NAMUONA YESU NAJIULIZA ITAKUAJE MWANA WA KWETU? WENGINE IZZ WAWAZ WENGINE HILI JAMBAZI NNA BEEF NA PAPARAZI HAWAHESHIMU HII NI KAZI. HESHIMA KWA OLOLOO, NAKO TO NAKO, HARDCORE UNIT,WEUSI NA WOTE WALIOWAHI KUSHIRIKIANA NA LORD KATIKA MUZIKI.. ARUSHA INAKUPENDA TANZANIA INAKUPENDA ILA KUNA WATU HAWAPENDI KUONA ARUSHA HAPA ILIPO. NIPE TANO HOMIE WE NDO MCHIZI WAAAAAAANGU KAMA HAITAKULA KWAKO HAITAKULA KWANGU NAFURAHI KUHUSU HILO BASI WEWE NDO MCHIZI WAAAAANGU
ARUSHA NI MJI WA MADINI AMBAYO NDIYO HAYA NA HAIJALISHI UNAPINGA VIPI, ILA KUNA UKWELI NDANI YA HILO. ARUSHA IPO TAYARI KULINDA NA KUTUNZA MADINI YAKE NA HILI LINAANZA KWA KWA LORD, KWASABABU KINACHOCHAFULIWA NI KISAFI HUYU MCHIZI TOKA NAKO TO NAKO,WEUSI KAMPUNI NI MTU ANAYASTAHILI HESHIMA NA SALUTI KWA KIPAJI ALICHONACHO,
0 comments:
Post a Comment