JARIBU KUFUATILIA MAISHA YA AFRIKA KUPITIA WATU WANAOTOKEA BARA HILI. SWALA HILI HALINA ISHU YA URANGI ILA NYEUSI NI KIGEZO PIA? KUMEKUWA NA MANENO YA HAPA NA PALE KWAMBA WATU WENYE NGOZI NYEUSI WANA NGUVU NYINGI NA UWEZO WA KIPEKEE.
TUKIANZA NA MAZINGIRA TUNAYOKULIA KUWA MAGUMU KWA VIPAJI VYETU KUONEKANA BADO AFRIKA IMEENDELEA KUWA SHAMBA LINALOZALISHA VIPAJI KILA SIKU. WENZETU WA ULAYA WANA WASOMI WENGI WANAOWEZESHA VIPAJI KUPATIKANA AMA KUGUNDULIKA MAPEMA KUPITIA SAYANSI NA NYENZONYINGNEZO ZA KISOMI
BILA SAYANSI TULIWEZA KUTENGENEZA ALA MBALIMBALI ZA MUZIKI, NA ZINGINE KUTUMIWA NA WANASAYANSI KATIKA KUBORESHA PALE AMBAPO MAWAZO YAMEISHIA. NTAKUWA NA MAELEZO MENGI MNO KAMA NITAANZA KUWATAJA WATU WENYE UWEZO WA KIPEKEE KATIKA UTENDAJI WA MAMBO NA MAWAZO WANAOTOKEA MAHALI PENYE MAZINGIRA MAGUMU YA VIPAJI AFRIKA.MIMI KAMA KIJANA WA KIAFRIKA NAAMINI KUWA NIPO AFRIKA KWAKUWA NAPAMUDU VYEMA, NAWEZA KUONYESHA KIPAJI CHANGU KATIKA MAZINGIRA YA HALI YOYOTE. JAPO IMEKUWA NGUMU KWA VIPAJI VINGI KUONEKANA BADO KUVIONYESHA KWA WATU NI KITU MUHIMU. TUMEWASHA MOTO BILA KIBERITI, TUMEPIGA MUZIKI BILA UMEME WALA RADIO, TUMETENGENEZA MAPAMBO NA NGUO BILA TEKNOLOJIA, TUNA MIPANGO YA MAISHA BILA ELIMU, VIPAJI BILA PAKUVIONYESHEA.HAYO YOTE BADO SIYO TIJA AFRIKA NI SHAMBA LA VIPAJI ENDELEA KUWA RAFIKI NA ULIMWENGU WA VIPAJI BLOSPOT NA TUKUAMBIE KUHUSU HAPA AFRIKA JUU YA VIPAJI MAALUM TULIVYOJALIWA.
0 comments:
Post a Comment