A TOWN BOYS ARUSHA

MGENI WANGU KARIBU ILA UTAKAYO YAONA NA KUYASIKIA YAISHIE HAPA HAPA!!!!

HAPA KINATAFUTWA KILE AMBACHO HAKIPATIKANI KWINGINE, HAPA KINAFATWA AMBACHO HUFATI KWINGINE, ZAIDI YA MERERANI A TOWN
UREMBO WA KUVAA MKONONI, IMETENGENEZWA NA MADINI KUTOKA ARUSHA
MWANA APOLO KUTOKA ARUSHA AKIKUONYESHA MAWE WANAYO CHIMBA HUKO MERERANI
HAPA UNAONA MLIMA KWA MBALI? UNAITWA KILIMANJARO NA MUONEKANO HUU UNAUPATA PALE AMBAPO UMETOKA TU MGODINI WANAPOCHIMBA TANZANITE. IKATOKEA UPO HAPA HUTATAKA KUONDOKA.

HAIPATIKANI POPOTE PALE DUNIANI BALI HAPA KITOVU CHA AFRIKA ARUSHA, HII NI TANZANITE HALISI KABISA KUTOKEA HAPO A. TOWN
HUYO HAPO MKAKA WA KIMASAI AKIPATA HEWA SAFI KUTOKA NGORONGORO KATIKA ENEO KUBWA NA LA AJABU AMBAPO BINADAMU ANAISHI NA WANYAMA PORI KWA AMANI. 
ULIYO YAONA KWANGU YAACHE HAPA HAPA STAKI MANENO NA MAJIRANI, STAKI BUNDUKI NYUMBANI KWANGU, NATAKA AMANI NA UPENDO NYUMBANI KWANGU...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment