MAMA., NATAMANI UNGEKUWA MOYONI MWANGU UGUNDUE HIKI KITU, NATAMANI UONE HIKI NACHOKIONA AU UJISKIE HIVI MIMI NNAVYOJISKIA NIKIKUONA, HATA KAMA NINGEKUWA NAKOSEA ILA NNACHOKIONA SIYO SAWA MAMA.. NGOJA NIKUAMBIE MAMA VIPO VITA VIKUBWA DHIDI YAKO SIJUI KAMA UNAJUA HILO? WANASEMA NI SIKU YAKO KUU WANAKUPA VIDONGE USIZAE MAMA, WANAKUVUA HADHI NA KUKUITA MISS, WANAKUVUA NGUO KWA MATANGAZO YA BIASHARA MAMA, NIKISHINDWA KUSEMA NITAJISKIA VIBAYA SANA MAMA KUNA MAMBO SIYO KABISA MAMA ONA WATOTO WAKO WA KIKE LEO MIAKA 14 ANAVAA SIDIRIA, MIAKA 15 AMETOA MIMBA, MIAKA 16 ANAUZA MWILI, MIAKA 17 AMEACHIKA MIAKA KUMI NA NANE KWISHA. MAMA NASEMA NILICHOKIONA NA SIYO UONGO LEO MAMA UNAFANYA KAZI ZA ZEGE ETI HAKI NI SAWA!!! ETI MAMA.
WEWE NI KILA KITU NACHOKIITAJI MWANAMKE, UMENILEA KAMA MAMA TANGU NAZALIWA LEO MIMI MTU MZIMA UNANILEA KAMA MKE, USIBADILISHE WEWE NI NANI KWASABABU YA HUYU MWANAUME ULIYE NAYE LEO KWASABABU KESHO UTAULIZWA WEWE MWANAMKE NI NANI? USITAKE KUWA HUYU MWANAUME KWASABABU YA HAKI ZA DUNIA, MAMA WEWE NI KITU CHA THAMANI BILA KUWA KAMA MWANAUME, WEWE NI MWANAMKE SHUPAVU UKIUNGANA NA MWANAUME, WEWE NI MWANAMKE MPUMBAVU UKITAKA KUWA MWANAUME
THAMANI YAKO NI KUWA INAVYOMPASA MWANAMKE KUWA, BASI ACHENI KUSAGANA MAANA MUNGU HAPENDI, SI NIMESEMA BASI HALIRUDI KINYWANI MAMA, TAZAMA ULIVYO WEWE NDIYO VILE ALIVYO BINTI YAKO,YEYE HAWEZI KUVAA NA KUJISITIRI KWANI WEWE UKOJE MAMA?
WEWE UNATUMIA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA BINTI YAKO ANATOA MIMBA, WEWE MKE MKUBWA BINTI YAKO NYUMBA NDOGO , WEWE UNAVAA KIMINI BINTI YAKO KICHUPI HAZARANI,
BINTI YAKO ANANENGUA UCHI WEWE UNATAZAMA SEBULENI UKINYWA POMBE, BASI WEWE NA BINTI YAKO KITU KIMOJA NA CHAKUKIFANYA NI KIMOJA
KATIKA PALE PANAPOITWA FAMILIA MWANAMKE AWE NDIYO MAMA
KILA SIKU NI SIKU KUU YAKO YAKO WASIKUAMBIE NI LEO INAYOISHA LEO AU KESHO ISIYO FIKA NA JANA AMBAYO HAIPO KILA UNAPOITWA MWANAMKE UPO KWENYE SIKU YAKO

0 comments:
Post a Comment