A TOWN BOYS ARUSHA

VITU NA WATU HUJA NA KUONDOKA, LEO NI MUDA KAMA HUU JANA

 HAPO MWANZO PALIKUWEPO NA NENO NAYE NENO AKAFANYIKA MWILI AMBAYE NI MIMI NA WEWE, LEO MIMI NA WEWE TUNAUMBA KWA YALE TUNAYOYASEMA MARA KWA MARA, MANENO YANATAAMKWA MANENO YANAUMBA, WATU WENGI WANAUMBA HUZUNI KWA KUIPENDA JANA AMBAYO HAIPO NA HAITA KUWEPO TENA, LEO NI MDA KAMA HUU JANA KWA NAFASI AMBAYO UNAYO. KILA MTU KAPEWA NAFASI NA CHA KUFANYA KATIKA HIYO NAFASI, NAFASI NI MUDA,  MUDA HUJA NA KUONDKA, WAKATI ULIOPITA, WAKATI ULIOPO NA WAKATI UJAO. WAKATI ULIOPITA NI ELIMU YA KUISHI WAKATI ULIOPO,WAKATI ULIOPO NI ELIMU KUISHI KESHO,WAKATI UJAO, KESHO NI MATOKEO YA LEO . TUNAZO NYAKATI MBILI YATATU NI MATARAJIO, NI WAKATI UJAO KILA INAPOKUWA NI LEO ITARAJIE KESHO ILI UITENGENEZEE NJIA, USIJUTIE JANA ILIVYOISHA UNAYO LEO YA KUIANDAA KESHO USIYOIJUA.
VITU NA NAFASI HUJA NA KUONDOKA, KILE ULICHOPEWA UNAPASWA KUFANYA KWA WAKATI AU KUONA ANAFANYA MTU MWINGINE KWA WAKATI WAKE, TUMIA MDA MWINGI KUJUA UNA NINI UNACHOWEZA ILI KISIJE KIKAACHWA NA WAKATI KABLA HUJAJUA UNACHO. UTAKAPO ITUMIA LEO HADI IKAISHA INAITWA JANA, MAMBO YALIYOPITA HAYAPO KWA HIYO UKIFIKIRI KUHUSU JANA UNATAKA KUTUMIA KITU AMBACHO HAKIPO. SIMAMA KWENYE KILA UNACHOKIAMINI UNA UWEZO NACHO AMINI UNA MAAMUZI SAHIHI MUDA SAHIHI. KINACHOWEZA KUIBADILISHA JANA ULIYOMALIZA NI JINSI ULIVYOIANZA LEO.                                                                                                                                                                                                                                ...MAISHA KAMA MAISHA YANA KILA KINACHOITAJIKA KWENYE MAISHA ILA NJIA NI YA SIRI, SIKILIZA MANENO YOTE SHIKA NENO LA UZIMA JANA NI LEO ULIYONAYO WAKATI HUU.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment