| UKIACHIA MBALI KUJUANA, JUKWAA LA VIPAJI KAMA MAIGIZO VNAKUWA NA NAFASI KUBWA KATIKA HILI. BAADHI YA WASANII KUTOKA SANAWARI WAKIWA KATIKA MAZOEZI YA KUIGIZA( JAMII YA SANAA) |
| SISI HUWEZA KUKAA PAMOJA TUKAJADILI MABO MUHIMU JUU YA MAISHA YA KIJANA NA CHANGAMOTO KAMA VILE AJIRA ZA KUJIAJIRI NA KUAJIRIWA, MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA. |
| JUKWAA LA MUZIKI PIA, VIJANA WENYE VIPAJI VYA KUIMBA NA KURAP WANAPATA NAFASI YA KUFANYA YAO KAMA HIVI. |
| KILA TUNAPOPATA NAFASI YA KUWA PAMOJA TUNAKUMBUSHANA JUU YA MAMBO HAYO ILA JAMII NZIMA INAONEKANA KUNYAMAZA WAKATI MAMBO YASIYO YA KAWAIDA YA UKOSEFU WA MAADILI KATIKA JAMII YANATOKEA |
| HUYU NI MIMI PAMOJA NA VIJANA WENZANGU, NAPENDA KUTUMIA NILICHONACHO KWA FAIDA YANGU NA WENZANGU, TUNASHIKISHANA NA PAMOJA TUTAFIKA KWA JINA LA YEYE ALIYE MKUU MUNGU WETU |
0 comments:
Post a Comment