UJANA NA SHINIKIZO RIKA NI CHANGAMOTO SANA, KATAA UNAPOSHINIKIZWA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA, WENGI HUINGIA KWA USHAWISHI WA MARAFIKI
...TAFADHALI, TAFADHALI... NCHI NA DUNIA INANGOJA MATUNDA YAKO KWA WAKATI, TAFADHALI HAPANA KWA MADAWA HAYA...
...TAFADHALI, TAFADHALI... NCHI NA DUNIA INANGOJA MATUNDA YAKO KWA WAKATI, TAFADHALI HAPANA KWA MADAWA HAYA...
KUNA MADHARA MENGI SANA KWA WATU AMA UBONGO UNAOTUMIA MADAWA YA KULEVYA, NI SUMU NYINGI HUPATIKANA KWENYE MADAWA.
TAZAMA KATIKA PICHA HIZI, UBONGO WA BINADAMU UNAVYOWEZA KUPATA MADHARA KUTOKANA NA MATUMIZI YA SUMU HIZI KATIKA MADAWA. PICHA YA UBONGO KUSHOTO NI SALAMA, UBONGO KULIA NI UMEHARIBIWA NA MADAWA YA KULEVYA, SEMA HAPANA LEO, KESHO NA MILELE. SUMU MWILINI HAPANA.
0 comments:
Post a Comment