A TOWN BOYS ARUSHA

TUMEZALIWA MTAANI, TUNAISHI MTAANI, TUNAKULA MTAANI NA SASA TUNAITWA WATOTO WA MTAANI

 HAPA NI USINGIZINI TUPO, TUMELALA NA NI KAMA NILIVYOKUAMBIA TUNALALA MTAANI, MAZINGIRA NI MAGTUMU MNO..
 KUNA KUUMWA, BARIDI, NJAA YAANI HAKUNA WATU WA KUTJALI WALA KUTUONEA HURUMA, WATOTO WA MTAANI SISI DUNIA NI NGUMU SANA MAISHANI MWETU.
 ...TUNAHITAJI BEGA LA KUKUMBATIA HUU MUDA TULIOKO KWENYE MATESO HAYA, WATU WENGI HUWAPENDA WATOTO WAO WA KUWAZAA TU NA KUSAAU KWAMBA HATA SISI NI WATOTO PIA.
 NI LAZIMA KUJITAFUTIA CHOCHOTE MAANA SISI NDIYO KILA KILA KWENYE MAHITAJI YETU, TUNAISHI MTAANI KWA TABU SANA WATOTO WA MTAANI SISI WAKIKE UBAKWA NA KUFANYIWA UKATILI MKUBWA,
 WATOTO WA MTAANI SISI WAKIUME HUWA WEZI AMA MADAWA YA KULEVYA KUTUPOTEZA KWENYE RAMANI YA DUNIA, TUNAOMBA ELIMU, HAKI YA KUCHEZA, KUTIBIWA TUNAPOUGUA NA ZAIDI UPENDO WAKO.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment