|
naoma upendo wako |
...WAPO WATU WAMESHIBA MDA HUU, WAPO WANAOMWAGA CHAKULA MDA HUU, WAPO WANAOFANYA KUFURU KWA CHAKULA LEO HII, UPENDO NI MUHIMU KAMA SISI NI NDUGU.
|
siitaji kulia tena |
WOTE HUWA KUNA MUDA TUNALIA ILA KUNA WENZETU WANAOLIA MUDA WOTE WANAOTUMIA KUISHI. UNAYO NAFASI YA KUTOA HUZUNI KWENYE MAISHA YA MWENZAKO KWA KUONYESHA UPENDO WA CHAKULA.
|
nina ndoto sina usingizi |
SIYO MAISHA RAISI KUISHI BILA KUWA NA NYUMBA, PAKULALA NA KULA VIZURI, SIYO RAHISI WEWE KUPATA USINGIZI MAHALI KAMA HAPA BASI MWAMSHE HUYU MTOTO NA UMWONYESHE MAHALI PAZURI PAKULA CHAKULA NA KULALA.
|
tunaomba chakula tunasikia njaa |
WANAHITAJI KUSEMA JAPO ASANTE TU! NA MUNGU ATAONA KILE ULICHOTENDA KWA WEMA ALIOKUTENDEA, CHAKULA NI TIBA YA NJAA WANAYOUGUA WATOTO HAWA
|
leta upendo hapa |
TAFADHALI TAZAMA JAMII YAKO INAYOTESEKA NA NJAA, ONYESHA UPENDO KWA NDUGU ZAKO NJAA INAUMA, NJAA INATESA, NJAA INAUA. DUNIA INAHITAJI UPENDO, AFRIKA AFRIKA INAHITAJI UPENDO WAKO.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment