A TOWN BOYS ARUSHA

TUPOKEE KWAKUWA TUNAKUAMINI, TUSAMEHE MAKOSA YETU...SISI HUFA NA KUPOTEA ILA NENO LAKO NI LA UZIMA WA MILELE

HESHIMA KWA MC NGWEAR ALBERT...PUMZIKA KWA UHURU
Read More

OKOA MTAA SEMA HAPANA KWA MADAWA YA KULEVYA NA POMBE, "TAFADHALI SEMA HAPANA"

 UJANA NA SHINIKIZO RIKA NI CHANGAMOTO SANA, KATAA UNAPOSHINIKIZWA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA, WENGI HUINGIA KWA USHAWISHI WA MARAFIKI ...
Read More

TUMEZALIWA MTAANI, TUNAISHI MTAANI, TUNAKULA MTAANI NA SASA TUNAITWA WATOTO WA MTAANI

 HAPA NI USINGIZINI TUPO, TUMELALA NA NI KAMA NILIVYOKUAMBIA TUNALALA MTAANI, MAZINGIRA NI MAGTUMU MNO..  KUNA KUUMWA, BARIDI, NJAA YA...
Read More

UNAJUA NJAA WEWE? BASI KAMA UNAJUA MAHALI UPENDO UPO WAONYSHE WATU HAWA WENYE NJAA

naoma upendo wako  ...WAPO WATU WAMESHIBA MDA HUU, WAPO WANAOMWAGA CHAKULA MDA HUU, WAPO WANAOFANYA KUFURU KWA CHAKULA LEO HII, UPENDO ...
Read More